Mbonyo

Friday, 4 October 2013

Hii ndiyo shule yetu, shule ya msingi Ndirima, ipo takriba ni kilomita kumi toka Peramiho. Zamani tulikuwa hatuli chakula cha mchana shuleni, nyakati hizi hula. Maandalizi ya chakula hufanywa na wazazi. Watoto/wanafunzi hutakiwa kwenda na kuni shuleni. Pamoja na jitihada hizi mwamko wa elimu umeshuka sana, watoto hawatilii maanani mafunzo yao siyo kama enzi za akina Mlorera.

1 comment:

  1. Duh...ilikuwa muda sijaebda mdunduwalo....sijui mwal. Siwi bado anafundisha?..ni habari njema kupata chakula shuleni.

    ReplyDelete

Blog Archive