Mbonyo

Wednesday, 2 October 2013

Turudi nyumbani ni msimu wa maviru huu

2 comments:

  1. Kukota nde kumanya -----namuyaku nikosiwi maviru ndi kiki?

    ReplyDelete
  2. Dada yangu Yasinta. Sina kiswahili chake, ni matunda fulani yako porini kule kwetu. Ni maarufu sana katika msimu wa kung'oa nyasi. Yakiiva yanakua na rangi ya brown (ganda) na ndani kuna mbegu 1 au 2 kubwa zikizungukwa na brownish paste. Hakika yana radha ya kipekee. Niko mbioni kuonana na botanist ili niweze kuutambua mmea huo. Pole nimekosa jibu la moja kwa moja.

    ReplyDelete

Blog Archive