Mbonyo

Thursday, 1 December 2011

DISEMBA MOSI NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI.

Bango hili lipo kijijini Mdunduwalo, ujumbe uliopo unaenda sawia na Kauli Mbiu ya Mwaka huu katika kuadhimisha siku ya UKIMWI duniani ambao ni:

Tanzania Bila Maambukizi Mapya, Unyanyapaa, na Vifo Vitokanavyo na UKIMWI Inawezekana

Kutokana na kauli mbiu hii tunapata mlinganyo wa sufuri (0)
 [Maambukizi mapya = Unyanyapaa = Vifo vitokanyo na UKIMWI = sifuri (0)]

Eee Mungu Utupe Hekima!No comments:

Post a Comment

Blog Archive