Mbonyo

Tuesday, 7 June 2011

Kwetu Mdunduwalo

 Pichani ni baadhi wakazi waliojumuika paoja na familia ya Nicholous Komba Julai 2010 katika mkusanyiko wa familia kuwakumbuka marehemu wote wa familia (kuteta mahoka) na kutafakari changamoto zinazoikabili familia.
Picha ni kwa hisani ya Bw. Mwinyi.

2 comments:

  1. Nimefurahi sana kufika tena mpaka Ndirima/Mdunduwalo...Na pia nimefurahi kupata historia fupi ya kijiji hicho. Nadhani tutapata mengi kutoka KUNHYUMBA KUMDUNDUNDUWALO.

    ReplyDelete

Blog Archive