Mbonyo

Saturday, 11 June 2011

Dhambi ya udhalilishaji

Je aibu/mambo yaliyo mkuta boss wa IMF (hapa pia) aliyelazimika kujihudhuru huku kwetu hayatokei/fanyika au tunaona kawaida? Kila mmoja wetu akiwajibika tutawaokoa dada zetu wahudumu wa sehemu mbalimbali hususa ni bar.

No comments:

Post a Comment

Blog Archive