Mbonyo

Thursday, 8 September 2011

Usafiri wa kwetu


Watanzania na suluhu zetu za mkato, tutafika?  Picha hii imechukuliwa ndani ya Daladala inayofanya safari kati ya Tandika na Mwenge kupitia Mwananyamala.

3 comments:

 1. Dada umesema vyema kwani huwa hatuchukui tahadhari, likitokea la kutokea utasikia "....... kazi ya Mungu ......".

  ReplyDelete
 2. Habari za siku.
  Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

  Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
  http://blogutanzania.blogspot.com/
  kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
  Ahsante
  Luiham Ringo.

  ReplyDelete

Blog Archive